WaliochaguliwaSocialCover

Hawa hapa vijana 30 waliochaguliwa kuingia kijiji cha Maisha Plus

Hawa hapa. Waliochaguliwa kuingia katika Kijiji cha Maisha Plus East Africa 2016. Ni jumla ya vijana 30 kutoka nchi za Burundi, Kenya, Rwanda, Tanzania na Uganda.

Majina ya washiriki 30 waliochaguliwa kuingia kijiji cha Maisha Plus East Africa 2016

Majina ya washiriki 30 waliochaguliwa kuingia kijiji cha Maisha Plus East Africa 2016

Washiriki wote wataingia kijijini siku ya Jumapili tarehe 4/9/2016 kugombania kitita cha Tzsh. Milioni 30. Burudani yote utaiona LIVE kupitia Azam TV.

Tunawapongeza sana maelfu ya vijana waliojitokeza kwenye usaili msimu huu. Tunawatakia kila la kheri wote waliokosa nafasi na tuwakaribisha kujaribu tena msimu ujao.

#VijanaNdioNgazi