2016-10-30-PHOTO-00000146

Waziri Mwijage azindua mashine ya kusaga nafaka kijijini Maisha Plus

WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji wa nchini Tanzania Mhe. Charles Mwijage leo amezindua rasmi mashine ya kusaga na kukoboa nafaka katika kijiji cha Maisha Plus. Akizungumza  wakati wa uzinduzi wa mashine hiyo Mhe. Mwijage alisema kitendo cha washiriki hao 16 kutoka nchi tano za Afrika Mashariki kuweza kubuni mashine ni sawa na kufaulu mitihani mikubwa ya kimaisha. Alisema mashine hiyo ni …

Washiriki wa Maisha Plus wakiingia kijijini

Kijiji cha Maisha Plus chafunguliwa rasmi – Washiriki watakiwa kujijengea nyumba

Kijiji cha Maisha Plus kimefunguliwa rasmi. Washiriki 29 kutoka nchi 5 za Burundi, Kenya, Rwanda, Tanzania na Uganda wameingia kijijini kuanza safari ya wiki nane kuwania Tzshs. Milioni 30. Wafuatao wameingia kijijini:  Burundi: Kamo Daniel, Nibigira Baswari, Ngenda Pili, Khalid Said Kenya: Alex Esau, Mike Curtywer, Olive Kiarie, Deniace Machocho Rwanda: Bingo Regis, Gakumba Patrick, Karekezi Jean, Umubyeyi Solange Tanzania:  Paniely T. Mollel, Yasinta …

WaliochaguliwaSocialCover

Hawa hapa vijana 30 waliochaguliwa kuingia kijiji cha Maisha Plus

Hawa hapa. Waliochaguliwa kuingia katika Kijiji cha Maisha Plus East Africa 2016. Ni jumla ya vijana 30 kutoka nchi za Burundi, Kenya, Rwanda, Tanzania na Uganda. Washiriki wote wataingia kijijini siku ya Jumapili tarehe 4/9/2016 kugombania kitita cha Tzsh. Milioni 30. Burudani yote utaiona LIVE kupitia Azam TV. Tunawapongeza sana maelfu ya vijana waliojitokeza kwenye usaili msimu huu. Tunawatakia kila …

678A0083

Usaili wa Maisha Plus Mtwara, funga kazi

Ni asubuhi tulivu katika fukwe za bahari ya hindi kusini mwa Tanzania ambapo vijana wengi wamejitokeza kufanya usaili wa mashindano ya Maisha Plus East Africa 2016. Wapo wanaoonekana kujiamini na wengine wamejawa uoga. “Ni siku niliyoisubiri kwa hamu sana” anasema Faustine Komba miongoni mwa washiriki kutoka Mtwara. Safari ya msimu wa tano wa mashindano ya Maisha Plus imeanza rasmi kwa kuanza na usaili …