Washiriki wa Maisha Plus wakiingia kijijini

Kijiji cha Maisha Plus chafunguliwa rasmi – Washiriki watakiwa kujijengea nyumba

Kijiji cha Maisha Plus kimefunguliwa rasmi. Washiriki 29 kutoka nchi 5 za Burundi, Kenya, Rwanda, Tanzania na Uganda wameingia kijijini kuanza safari ya wiki nane kuwania Tzshs. Milioni 30. Wafuatao wameingia kijijini:  Burundi: Kamo Daniel, Nibigira Baswari, Ngenda Pili, Khalid Said Kenya: Alex Esau, Mike Curtywer, Olive Kiarie, Deniace Machocho Rwanda: Bingo Regis, Gakumba Patrick, Karekezi Jean, Umubyeyi Solange Tanzania:  Paniely T. Mollel, Yasinta …